Karibu sana kwenye blog rasmi ya FRESH TECH BUSINESSES – biashara inayokuunganisha na ulimwengu wa teknolojia kwa njia rahisi, nafuu na ya kisasa.
Tumeanzisha blog hii ili:
-
Kukujulisha kuhusu huduma zetu
-
Kukupa elimu ya teknolojia kwa Kiswahili
-
Kukufikishia matoleo mapya, ofa na bidhaa bora
💼 Huduma Zetu Kwa Ufupi:
-
WiFi Routers bora kwa bei nafuu
-
Installation ya intaneti nyumbani, ofisini, au biashara
-
LIPA NAMBA bure kwa wafanyabiashara
-
Sajili laini mpya au rudisha zilizopotea
-
Mikopo ya simu aina zote bila usumbufu
-
Till za mawakala wa mitandao (Vodacom, Airtel, n.k)
Tunapatikana Makambako karibu na Durban Park Hotel, na tunahudumia pia maeneo ya jirani kwa makubaliano.
🤝 Lengo Letu Ni:
Kuwezesha watu, familia na wafanyabiashara kutumia teknolojia kwa manufaa yao ya kila siku – kwa bei nafuu, huduma ya haraka, na msaada wa kitaalamu.
📲 Tafadhali Tembelea Kurasa Zetu:
🔔 Usikose:
Tutakuwa tukichapisha makala kama:
-
Jinsi ya kuchagua router bora
-
Faida za LIPA NAMBA kwa biashara yako
-
Jinsi ya kurudisha laini haraka
-
Mwongozo wa kupata simu kwa mkopo
FRESH TECH BUSINESSES – Teknolojia kwa kila mtu!

0 Comments