🛠️ 2. HUDUMA ZETU
Tunatoa huduma zifuatazo:
-
✅ WiFi Routers
-
Tunauza routers bora kwa matumizi ya nyumbani, ofisini au biashara.
-
Ushauri wa router ipi inafaa kwa matumizi yako.
-
-
✅ Installation ya Internet
-
Tunafunga mitandao ya intaneti kwa usalama na ufanisi.
-
Installation ya routers, repeaters, access points n.k.
-
-
✅ Tech Support
-
Tunaweza kusaidia kwa matatizo ya vifaa au mtandao.
-
Usafishaji wa simu, kompyuta na settings za router.
-
-
✅ LIPA NAMBA BURE
-
Tunakusaidia kufungua LIPA NAMBA kwa biashara yako bila gharama.
-
Inakusaidia kurahisisha malipo kwa wateja.
-
-
✅ Till za Mawakala
-
Tunasaidia wakala wa mitandao (Vodacom, Airtel, Tigo n.k) kuanzisha au kuendeleza biashara yao.
-
-
✅ Sajili Laini Mpya
-
Tunatoa huduma ya usajili wa laini kwa haraka na kwa usalama.
-
Pia tunasaidia kurudisha laini iliyopotea.
-
-
✅ Mikopo ya Simu Aina Zote
-
Unahitaji simu kwa mkopo? Tunakusaidia kupata simu bora kwa masharti nafuu.
-
Mfumo salama wa marejesho.
-
0 Comments