💬 MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA (FAQ) KUHUSU ROUTER NA HUDUMA ZETU

 


Wateja wengi huuliza maswali yanayofanana kuhusu routers na huduma za intaneti tunazotoa. Hapa tumekusanya baadhi ya maswali maarufu pamoja na majibu yake:


❓ 1. Router ni nini?

📡 Ni kifaa kinachoruhusu vifaa kama simu, laptop, au Smart TV kuunganishwa na intaneti bila waya (Wi-Fi).


❓ 2. Ni vifaa vingapi vinaweza kuunganishwa na router moja?

✅ Kulingana na aina ya router, unaweza kuunganisha kuanzia vifaa 5 hadi 30 bila kupungua kwa kasi.


❓ 3. Router inafanya kazi muda gani?

🕒 Router inafanya kazi 24/7 muda wote ilimradi kuna umeme au power bank kwa walioko maeneo ya umeme wa uhakika mdogo.


❓ 4. Je, router inahitaji laini ya simu?

📲 Ndio, nyingi hutumia line ya mtandao kama Vodacom ili kupata intaneti. FreshTech tunakusaidia kuseti kila kitu.


❓ 5. Nifanyeje nikihitaji router au msaada wa kuunganisha?

📞 Piga 076 6079 000. Tutakushauri, kukuletea, na kukufungia router bila usumbufu.


🛠️ FreshTech – Huduma Kamili za Intaneti

Tunakuunganisha kwa urahisi, haraka, na kwa bei nafuu.

Post a Comment

0 Comments