Kwa sasa simu janja (smartphone) ni zana muhimu kwa mawasiliano, biashara, elimu na burudani. Lakini si kila mtu ana uwezo wa kununua simu kwa mkupuo — ndiyo maana mikopo ya simu imekuwa msaada mkubwa kwa wateja wetu.
Kupitia FRESH TECH BUSINESSES, unaweza kupata simu nzuri kwa mkopo – bila usumbufu, bila dhamana kubwa, na kwa masharti nafuu kabisa.
🤔 Mikopo ya Simu ni Nini?
Ni mpango unaokuwezesha kupata simu sasa hivi, halafu unalipa kidogo kidogo kwa muda maalum (wiki au mwezi).
Mfano:
Simu ya Tsh 300,000 unaweza kulipia:
-
Tsh 60,000 ya awali
-
Halafu Tsh 30,000 kila wiki kwa miezi 2
📋 Masharti Rahisi ya Kupata Mkopo:
-
Uwe na Kitambulisho chako (NIDA, Leseni, au cha Mpiga Kura)
-
Uwe na namba ya simu inayotumika
-
Uwe tayari kutoa malipo ya awali (kiasi kidogo)
-
Maelezo mafupi ya mahali unapoishi na kazi unayofanya
Tunaepuka masharti magumu au dhamana zisizowezekana.
📱 Simu Unazoweza Kukopa:
Tunatoa aina nyingi kama:
-
Samsung, Tecno, Infinix, Itel, iPhone
-
Simu mpya (brand new) na simu nzuri za daraja la pili (used but clean)
✅ Faida za Kukopa na FRESH TECH:
-
Hakuna interest kubwa
-
Unapata simu papo hapo
-
Uko huru kuchagua muda wa kulipa (flexible terms)
-
Huduma ya baada ya mauzo (tunakupa warranty kwa baadhi ya simu)
-
Uaminifu hujenga uwezo wa kupata mkopo mwingine
📞 Unahitaji Simu Leo?
Njoo kwenye ofisi yetu:
📍 Makambako – Karibu Durban Park Hotel
📞 Piga: 0755 959 117
📱 WhatsApp: Bonyeza hapa kuwasiliana
🛍️ Usingoje mshahara au pesa nyingi – chukua simu sasa, lipa kwa utaratibu.
FRESH TECH BUSINESSES – Tunakuwezesha kidigitali kwa gharama nafuu.

0 Comments