Fresh Tech inakuletea kifurushi maalum kwa shule, taasisi za elimu, na madarasa binafsi! Tunatambua umuhimu wa mtandao wa uhakika kwa wanafunzi na walimu – ndiyo maana tumeandaa School Package yenye gharama nafuu na huduma bora zaidi.
💡 Vifurushi Vilivyopo:
-
10Mbps – Tsh 60,000/= kwa mwezi
-
20Mbps – Tsh 80,000/= kwa mwezi
-
30Mbps – Tsh 90,000/= kwa mwezi
🎁 Unapata:
✅ Router bure
✅ Installation bure
✅ Huduma ya haraka & ya kitaalamu
📞 Tupigie sasa:
📲 0766 079 000
Tupo tayari kukuhudumia popote ulipo!
Fresh Tech – Tunakuunganisha Kwa Kasi na Uhakika!

0 Comments