Huduma zetu sasa zimepanuka! FreshTech kwa kushirikiana na Vodacom, tunawapa taasisi mbalimbali router bure ili kuhakikisha wanafikiwa na huduma bora ya intaneti.
🏢 TAASISI ZINAZOFAIDIKA:
-
Ofisi za kijiji au kata
-
Mahakama
-
Maafisa wa jeshi
🎯 TAASISI ZENYE OFFER SPECIAL:
-
Shule binafsi
-
Hospitali binafsi
-
Maduka ya dawa za binadamu
Ikiwa upo katika mojawapo ya taasisi hizi, usikose fursa hii ya kipekee!
📞 WASILIANA NASI LEO:
076 6079 000
Tunakuletea router hadi ulipo. Hakuna gharama ya awali!

0 Comments